Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

yani hapa ingekua mwanaume kaja kusema amemkuta manzi wake anafanyiwa hivo weeee uzi ungekua wamoto huu…ila kapost mwanamke ni chai….😏😏😏😏 NAKAZIA SIO CHAI
 
yani hapa ingekua mwanaume kaja kusema amemkuta manzi wake anafanyiwa hivo weeee uzi ungekua wamoto huu…ila kapost mwanamke ni chai….😏😏😏😏 NAKAZIA SIO CHAI
namimi nakazia hakuna mwanaume anadinda kwa kupigwa vidole, hii ni CHA-I !!
 
Achana nae , acha kujipotezea mda, huna haja ya ushaur bhn jbu unalo, huyo ni upinde tena alyekubuhu kbs
 
DAAH pole dada😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…