mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Hatari,all in all shauri zao na maisha yao waliyoyachaguaInasikitisha bro,yaani mama anamtafutia bwana mtoto wa kiume wa mwanamke mwenzake akamtindue aisee hawa wanawake hawa!
Mimi ndiyo maana hata huruma sina nikisikia mwanamke ameuawa naona wote sawa tu.
Serikali kuna mambo waliyaachia haya ndiyo matokeo yake,kdg zamani walikuwa faragha ila sahv na wao wanataka uhuru 😄
Ova