Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mwambie
 
Niliwahi kusikia story kama hii yako, ila huyo demu aliingia ndani nae akadai yule msela amle mbele ya mshkaji wake ili apige kimya. Hapakuwa na namna, jamaa akamla huku msela anaangalia, kesi ikaisha.

Ila kwa wadada wote waliosoma hiyo story nitawashauri wasipende kufyekenyua vitu/simu za wanaume wao wanaweza kukutana na vitu wakaishia kujinyonga... madhali jamaa hajakuonyesha ubaya usiutafute, maana usilolijua halitakuumiza, ila ukilijua laweza kukumaliza.
 
Ushoga ulikuwepo toka wewe hujazaliwa sema tu siku hizi kutokana na utandawazi mashoga wanajianika kujitafutia masoko kama wafanyavyo Kajala na mwanae au mastaa uchwara wengine wa Kibongo.
 
Umekulia nchi gani mkuu, mbona usenge ulikuwepo toka enzi na enzi na usikute hata baadhi ya viongozi wetu huko bungeni nao wanapakatwa na wanaume wenzao baada ya vikao na ndiyo maana huwasikii wakikemea hii starehe yao, ni wanawake tu ndiyo wanakemea.
 
Kuna KITU kinaitwa lesbian bed death

KWENYE mahusiano mengi ya jinsia moja (mwanamke + mwanamke) kuna hii hali

ambapo takwimu zinaonyeshwa KWAMBA, wandani WENGI wa jinsia MOJA hawafanyi MAPENZI mara kwa mara

Na SABABU KUBWA ni kuwa MWANAMKE hazalishi KIASI kikubwa cha homoni za kiume HIVYO kufanya matamanio kuwa MADOGO baina YAO

MAHUSIANO mengi ya lesbian yana pitia hali hizi za kukosa ukaribu na mapenzi (segXz)

SASA UNAJIULIZA, hapa unatupeleka WAPI?

USIJE UKAPUMBAZWA kwamba hali hii inawatokea lesbians tu, lakini ni mara ngapi uko kwenye mahusiano lakini demu hataki kukukatia?, Au MWANAMKE uko kwenye mahusiano laini kufanya mapenzi na MWANAUME wako "feels like a lot of work" hutaki hata kusikia

WAULIZENI, majamaa WENGI waliooa WANAKATIWA MARA NGAPI

MARA nyingi unaweza kumsikia MWANAMKE ana complain "hakuwa hivi WAKATI tunaanza MAPENZI, siku hizi amebadilika".

MWANAUME na WEWE ukiangalia unasema mbona alikuwa ananikatia kila mara kabla ya mahusiano/ndoa siku hizi amekuwaje

LEO NATAKA NIKUSANUE JAMBO MOJA (1)KATIKA MANNE (4) yanayo sababisha HIYO hali na litakalo kusaidia kukatiwa MARA kwa MARA

MAHUSIANO yana faida ZAKE na hasara PIA

MOJA ya hasara zake ni kuwa MWANAUME unapoingia kwenye MAHUSIANO homoni za kiume (T) zina drop (dondoka kwa kasi ya ajabu) na homoni za kike zinaanza kuzalishwa kwa wingi (oxytocin)

Homoni ya (T) ndio inayo husika na "mate seeking behaviour" ukiwa single inazalishwa kwa wingi unapo pata demu/mke inadondoka na oxytocin inachukua nafasi

UKIWA na kiwango KIDOGO cha homoni za KIUME, zile TABIA za kiume ambazo MWANAMKE wako alikuwa anaziona MWANZO zinakata ndio maana unaweza ukaona anaanza kukuendesha, kufanya hivi na vile ili mradi mgombane

Mnapanga mechi saa ya MWISHO anaingia vichakani hatokei

Unakuta MWANAUME anaogopa kwenda kazini anaona kama atagongewa, kila saa ana tuma meseji kama yuko mbali na mpenzi wake

WANAWAKE wana natural ability ya KUJUA mwanaume mwenye kiwango kikubwa cha testosterone (T), evolutionary wamepewa huo UWEZO

Kiasili kabisa kama huna hicho kiwango ni LAZIMA alete drama kwenye relation, kwasababu aliingia KWENYE mahusiano na MWANAUME and lately haoni kama that is the case

SASA SITAONGELEA TABIA AMBAZO KAMA MWANAUME UNATAKIWA KUZIEPUKA, nitaongea JINSI ya kuongeza (T) level kwa kifupi

Testosterone ndio homoni inayo mpa MWANAUME unaume WAKE

Simple, ili uongeze kiwango chako cha (T) level ni lazima uepuke baadhi ya tabia na chakula (rudieni lile somo nililowafundisha hapa kuhusu oestrogen na kwanini wanaume wamekuwa feminised)

VYAKULA unavyotakiwa kugonga kwa WINGI vinajumuisha mayai, ndizi (tano (5) kwa siku)), viazi vitamu etc upate masaa nane(8) ya usingizi mazoezi, acha punyeto na picha za ngono kila mara

KUNA kiwango cha kifanya cha testosterone (T) hakikisha at least una double kiwango kilicho wekwa kuwa in safe space

ILI kudouble hiki kiasi, MIMI huwa nafanya hivi naogea maji ya moto alafu nikimaliza nafungulia ya baridiiii nikitoka natetemeka [emoji28]

NAKUSHAURI UFANYE HIVYO, ndani ya WIKI mbili ukipita barabarani mademu wasio anza kukushadadai bila wewe kujikomba rudi hapa niambie [emoji28][emoji28]
 
Mkuu kujifunda kujifabaza na ushuzi wa ngamia na nguruwe unaongeza testasterone nyingi kwa haraka sana na mda mfupi.

Tafiti zimethibitisha
 
Vipi kuhusu tangawizi na asali na vitunguuswaumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…