Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Nilikuwa naaminigi hivi ila siku nilipokutanaga nalo ndio nikajua kumbe bado nilikuwa sijui.

Wengine wapo kawaida kabisa ana tabia zote za kiume kwa nje, ila ndio anapakuliwa.
 
Mbona na wewe mleta mada mwandiko wako unanukia biriani ?
Kwema huko nyuma utokako?
 
Nilikuwa naaminigi hivi ila siku nilipokutanaga nalo ndio nikajua kumbe bado nilikuwa sijui.

Wengine wapo kawaida kabisa ana tabia zote za kiume kwa nje, ila ndio anapakuliwa.
Inatokea but pia asilimia kubwa wana sifa za nje pia. But mi nadhani huwezi sodomezwa ukabaki a man hata kidogo kuna vitu tu utaonesha. Ni nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…