Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hali si mbaya kwa kiwango hicho. Acha kuwafuatilia hao utawaona kwa bahati mbaya mno. Kwani nje ya hiyo sherehe umekutana nao wapi wengine wakikatika hadharani?
Kwani Hadi wakatike hadharani ndo ujue Hali si shwari mkuu ?
 
Ww ni mmoja wao ndo maana hio video imekufikia
 
Kabla serikali haijafanya hayo uliyoyasema, TUANZIE KWENYE FAMILIA, BABA, MAMA AU NDUGU WA HAWA VIJANA WAO WAMECHUKUA HATUA GANI?
 
Mashoga ukiwatafuta utawapata, ila usipo watafuta huwezi kuwaona! Kwahiyo mkuu hali siyo mbaya kiasi hicho ulichoandika, mbona mimi siwaoni?
Sema tu wewe umewatafuta na siku zote mwana kulifind mwana kuliget!
 
Aje Dkt. Gwajima D Gwajima kujibu.
 
Mambo ya msingi yanawashinda kufuatilia ila upumbavu na kufuatilia matumizi ya vikojoleo vya watu faragha ndo mnaweza. Nyie mitanganyika akili mmekalia?

Hakuna maji, umeme, madawa, barabara etc etc badala ukazanie hayo unawekeza nguvu zako kufuatilia maisha ya watu. Nyie mitanganyika bure kabisa ndo maana serikali inajifanyia inachotaka.
 
Serikali isipotunga sheria ya kuwanyonga mashoga, tatizo hili haliwezi kuisha kamwe. Nashangaa kwanini inakuwa na kigugumizi kutunga sheria hii.
 
Sababu ni zilezile;-
*Land alienation
*Poor infrastructure
*Taxation
*Low income
*Poor education
*Eploitation
*Neo-colonialism
NB: Ni jukumu la kila mwananchi kulinda tundu lake.
 
Mashoga ukiwatafuta utawapata, ila usipo watafuta huwezi kuwaona! Kwahiyo mkuu hali siyo mbaya kiasi hicho ulichoandika, mbona mimi siwaoni?
Sema tu wewe umewatafuta na siku zote mwana kulifind mwana kuliget!

Word. Ndo akili zao zilipoishia, wanafuatilia ujinga wenyewe afu wanalalamika ila mambo ya msingi hawaoni.
 
Mashoga wako dhahidi wala hawajifichi
Hata bila kuwatafuta utawaona

Hii ni hatari kwa maadili na tamaduni za Mtanzania

Tutakuja kupata kizazi cha ovyo, hii tamaduni ya ushoga haifai ni aibu sana

Ni uchungu kwetu wazazi tutawalea vip watoto wakati kwenye jamii wanaona mashoga yapo na yananadi ushoga

Ushoga sio jambo binafsi inaathiri jamii nzima na maadili yetu

Serikali kama inapiga vita bangi inashindwa ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…