Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Ama CCM inataka kufanya dhulma, au inataka kuugawa uwanja wake kwa umma.Kimpira ni jambo la manufaa sana. Itapendeza siku moja uwanja wa Jamhuri uwe na hadhi ya CAF. Ila kitechnical ni sahihi viti vya uwanja wa umma kupelekwa uwanja binafsi?
View attachment 3562333
Sasa mkipewa CHADEMA mtavifunga wapi?? Vitu vingine acheni viwapite kimya tu, siyo kila kitu lazima mkosoe??3.Kisiasa na kiuchumi
Je CCM wamelipia au wamechukua tu, uwanja wa jamhuri ni wa CCM, kwa mkapa ni wa serikali, maana yake mali ya umma inaenda kwa chama, ikoje hii?
Ulichokosea mie sio chadema, cuf, wala tlp..Sasa mkipewa CHADEMA mtavifunga wapi?? Vitu vingine acheni viwapite kimya tu, siyo kila kitu lazima mkosoe??
CCM na Serikali ni kama damu na ngozi
watu wanafikiri unakosoa kwa sababu ya itikadi ya chama , hawataki kusikia ukweliUlichokosea mie sio chadema, cuf, wala tlp..
Sina chama, nahoji nikiwa huru kifikra.
Nilichogundua watanzania tuna mihemko mnoo, iwe kwenye mpira, dini, siasa ama chochote kile.watu wanafikiri unakosoa kwa sababu ya itikadi ya chama , hawataki kusikia ukweli
Hakuna kitu kinaitwa upinzani wa kipuuzi kwenye hoja za ukweli.View attachment 3562415Hamna shida,viti vimeshapelekwana vimeanza kufungwa,mambk mengine yatypite tu tuache upinzani wa kipuuzi kwa faida yetu..Watu wanaohoji inakuwaje vinatolewa kwa mkapa vinapelekwa kwenye uwanja binafsi,swali kuna viwanja vingspi vya serikali hapa Tz?..Uwanja wa uhuru unafungwa viti vipya,viti vya mkapa pia vimepelekwa sehemu nyingine kama Tanzanite complex manyara vimeshafungwa,Mkwakwani ndio vinafungwa,Jamhuri Dodoma bado havijaanza kufungwa,CCM kirumba n k
watu wamejiingiza kwenye siasa bila kuijua siasa yenyewe, wanashindwa kutofautisha chama na serikali.Hakuna kitu kinaitwa upinzani wa kipuuzi kwenye hoja za ukweli.
Hivi viti ni vya serikali, vilinunuliwa kwa kodi ya wananchi, vinapelekwa jamhuri uwanja wa CCM, ambapo mapato ni kwa CCM, mapato hayo hayaendi kwenye afya, barabara, elimu n.k.
Kama wamepeanq bure waseme, raia wana haki ya kuhoji kwanini bure, na kama wamenunua kwa bei ya used waseme ni kiasi gani, hui ndio uongozi na utawala ulivyo.
Mtawaliwa ana haki kujua kodi yake inavyokwenda.
Hayo sio makochi ya baba nyumbani, kwamba alinunua yeye anayatoa tu, na hata kama alinunua yeye, basi qtampq taarifa mkewe natoa haya kwa fulani, tunanunua haya..
Simple