Viti vya uwanja wa Taifa vinakidhi vigezo vya FIFA/UEFA?

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
3,434
Reaction score
1,985
Awali ya yote napenda nisieleweke kama namlaumu mtu yeyote bali natoa maoni ya kitaalamu kwa baadhi mambo ambayo yangestahili kuzingatiwa wakati wa ujenzi wa uwanja huu. Ambao kwa sura ni mzuri unapendeza, lakini functionally sivyo.
Kuhusu viti, sio mara ya kwanza kusikia uharibifu. Kuanzia siku ya ufunguzi wake nilisikia palikuwa na uharibifu mpaka vyooni! Nikajiuliza kwanini iwe hivyo ilhali uwanja ni mpya kabisa? Na kwakuwa hali hii inaendelea hadi leo ina maana wahusika hawajuwi dawa ya tatizo hili.
Viti au vyoo vya public kwa ujumla huwezi kutumia vile vya nyumbani au maofisini. Kwahiyo kuna specifications za facility hizi ambazo zinakidhi matumizi ya rafu ie. Vandal Proof seats na public toilets and fixtures.
Baadhi ya kampuni zinazotengeneza vitu hivi ni daplast seats and bleachers, ambapo kuna aina kadhaa za viti eg. CR3, CR4, CRM nk. Hivi ya CR4 vimetumika katika baadi ya viwanja vya nchi kadhaa za Africa: Egypt, Libya, Morocco na Sudan.

Ni wazi kwamba viti vya uwanja wetu hata vyoo pia, havikukidhi vigezo nilivyotaja ambavyo vinakubalika na vigezo vya
FIFA/UEFA. Vile pale nahisi vilitoka China na wahusika huenda waliuziwa mbuzi kwenye gunia. Hata hivyo bei niliyosikia ikitajwa ya Sh. za Tz. 200,000/- kwa kiti moja, inazua maswali pia. Nimefanya utafiti wa aina hiyo ya viti toka China ni US. Dollars 5 - 10 kwa kiti! Ambayo ni kama Sh. 12500 hadi 25,000/-.

Nashauri kabla ya kununua viti vipya au vinginevyo; kwamba ili kuepusha gharama za aina hii kujirudia rudia; wakati mnapojenga facility kama hizi na mnapokarabati, muwatumie wataalamu au washauri wenye ujuzi wa vitu hivi.
 
Huko Uefa ulisha fika na kuvikalia!?

Unavyouliza inaonyesha hujuwi UEFA au FIFA ni nini. Haikuwa lazima ujibu.

Kwa faida yako na wengine kama wewe nashauri mfanye tafiti katika mtandao, kwani baadhi ya taarifa ziko wazi, hatutungi.
Niongeze tena hapa kwamba kuna hatari siku moja watu wakaumia au kuuwana katika kurushiana viti nk. ambapo isingetokea kama wahusika wangefanya mambo kwa weledi.

Hebu nikuulize uwanja huu una bima ya aina yoyote kwa matukio ya hatari kama moto, vurugu nk.? Kwasababu kuwaweka watu katika hali ambayo wanaweza kuumia au kupoteza maisha kwa uzembe wa aina yoyote kunaweza kusababisha wahusika kufunguliwa kesi za madai ya fidia nk. kwa waathirika.

Halafu fikiri hayo maelfu ya viti ya plastiki yaliyoharibika watayafanyia nini? Huoni kwamba tunaletewa takataka kwa kupenda vitu visivyo na viwango?
 


Hahaha sijui upo wapi
Nani alikuambia kuvunja au kung'oa viti
Uwanjani kunasababishwa na ubora wake!!?


Ingia usome hii
Kwamba nawao havina ubora!?
Au sio UEFA?

Arsenal must replace over 100 seats destroyed in Galatasaray game








Arsenal forced to replace over 100 seats destroyed during Wednesday's win over Galatasaray
17:15, 3 OCT 2014 UPDATED 17:53, 3 OCT 2014 BY JOHN CROSS
The Turkish giants face a potential partial stadium closure while the Gunners could be fined after numerous flares went onto the pitch

6107
SHARES
Twitter
Leaving a mark: Chairs were ripped out at the Emirates Stadium
Arsenal have been left with a huge bill and trail of destruction following their Champions League game with Galatasaray.

More than 100 seats have been pulled out and wrecked while many more have been damaged and will need replacing at the Emirates Stadium.

It comes after pictures revealed the true extent of the damage made by Galatasaray fans in the away end on Wednesday night.

Twitter
Destruction: Fans left their mark on the away end in north London
That has led to Arsenal and Galatasaray being charged by UEFA which could see the Turkish club facing a partial stadium closure and Arsenal could be fined.

Arsenal have been charged with "insufficient organisation of security" by European football's governing body.

That will add insult to injury for Arsenal as they now face a fine from UEFA and costs of repairing their seats.
 
Tanzania na UEFA tena?, kazi tunayo wachambuzi
 
kwanza kazi ya kiti ni kung'olewa au kukalia?kuna mtu alikalia halaf kikavunjika?jarb kuvunja kiti cha nyumban kwako halaf tuletee jibu.
 
Sote tunajua alojenga ni mchina, mchina anaeleweka sifa zake, hasa linapokuja suala la nje ya nchi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…