Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kwa sasa mazoezi ya ukakamavu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama yameongezeka kwa kasi mithili ya 5G Plus.
Hii inaleta tafsiri gani kwa wananchi, hasa tukielekea Oktoba 29? Je, ni ishara kwamba mipango ya maandamano iangaliwe upya na labda kuahirishwa, au ndio kinyume chake?
================
Oktoba 3, 2025 vyombo vya ulinzi na usalama vya Mkoa wa Pwani wamefanya mazoezi ya pamoja ya ukakamavu kwa kutembea maeneo mbalimbali ya viunga vya Wilaya ya Kibaha.
Mazoezi haya yamelenga kudumisha ulinzi na usalama pamoja na kukuza mahusiano ya karibu kwa watumishi ndani ya vyombo hivyo kama wanavyo onekana kwenye picha mbalimbali.