Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kwa sasa mazoezi ya ukakamavu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama yameongezeka kwa kasi mithili ya 5G Plus.
Hii inaleta tafsiri gani kwa wananchi, hasa tukielekea Oktoba 29? Je, ni ishara kwamba mipango ya maandamano iangaliwe upya na labda kuahirishwa, au ndio kinyume chake?
================
Oktoba 3, 2025 vyombo vya ulinzi na usalama vya Mkoa wa Pwani wamefanya mazoezi ya pamoja ya ukakamavu kwa kutembea maeneo mbalimbali ya viunga vya Wilaya ya Kibaha.
Mazoezi haya yamelenga kudumisha ulinzi na usalama pamoja na kukuza mahusiano ya karibu kwa watumishi ndani ya vyombo hivyo kama wanavyo onekana kwenye picha mbalimbali.
View attachment 3482836View attachment 3482837View attachment 3482839
Hawa ni wasaliti.Mimi najua kwamba tuna Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ,si jeshi la watawala, serikali au chama chochote. Kwa hivyo, wale wote wanaofanya ujinga huu hadharani kuwatishia watanzania ni wasaliti wa taifa na wa Watanzania kwa ujumla; siku itafiki watachukuliwa hatua Kali sana bila huruma siku ikifika na watatakiwa kuwajibika kwa yale waliyoyafanya kwa kutumika vibaya na watawala. Teknolojia haiwezi kusahau, kila kitu kimehifadhiwa kwenye rekodi.Kwa sasa mazoezi ya ukakamavu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama yameongezeka kwa kasi mithili ya 5G Plus.