KERO Vitisho vya C na Supp Vyatawala Kwa baadhi ya lecturers MoCU

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.

Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza yamejaa hofu, lecturer anakutafutia sababu ili uwe na makosa muda wote usihishi kwa amani

Hii sio eliimu hii ni intimidation. Wanafunzi wengi wamekata tamaa, wengine wanahamia vyuo vingine, baada ya kumaliza Diploma

images.jpeg

Nina ushahidi wa haya, na ninaamini huu ni muda wa mamlaka husika kuchukua hatua. Heshima na haki kwa mwanafunzi si ombi, ni lazima.
 
Mbona unanikatisha tamaa sasa! Nilitaka kuja kusoma hapo shahada yangu ya uzeeni ihusuyo ujasiriamali. Kwa taarifa hii, nimeahirisha kuja kusoma kwenye chuo chenu.
 
Kuna watu wachache wanaifanya elimu ionekane ngumu.
 
Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.

Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza yamejaa hofu, lecturer anakutafutia sababu ili uwe na makosa muda wote usihishi kwa amani

Hii sio eliimu hii ni intimidation. Wanafunzi wengi wamekata tamaa, wengine wanahamia vyuo vingine, baada ya kumaliza Diploma

Nina ushahidi wa haya, na ninaamini huu ni muda wa mamlaka husika kuchukua hatua. Heshima na haki kwa mwanafunzi si ombi, ni lazima.
Itakuwa we huingiagi darasani au husomi!

Hayo ni mambo ya kawaida, ukitaka kubembelezwa lbd ukasome KIU, TIA na MWALIMU NYERERE ila vyuo vingine vyote ni kukaza.
 
Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.

Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza yamejaa hofu, lecturer anakutafutia sababu ili uwe na makosa muda wote usihishi kwa amani

Hii sio eliimu hii ni intimidation. Wanafunzi wengi wamekata tamaa, wengine wanahamia vyuo vingine, baada ya kumaliza Diploma

Nina ushahidi wa haya, na ninaamini huu ni muda wa mamlaka husika kuchukua hatua. Heshima na haki kwa mwanafunzi si ombi, ni lazima.
Licha na hizo changamoto ambazo ni 'Common' kwa maLecturers walio wengi, ila vijana wa MoCu mnasifika kwa kutokusoma na kula bata sana hapo mjini Moshi.

Bila 'Intimidation', vijana wa sasa ni ngumu kujisomea. Lazima mlazimishwe kusoma kwa njia hiyo ili kukamilisha kilichowapeleka chuoni.
 
Inaonekana huyu ni mwanafunzi wa DIPLOMA, that's why anashindwa ku-Copy mazingira.

Pia Lecturers huwa sio waalimu professionally.
 
Kwasifa hizi, minaona hicho chuo kina nifaa sana nikimleta kijana wangu...😐
Tatuzo vijana wa skuizi mmekua laini na malezi yamewaharibu aiseee
 
Inaonekana huyu ni mwanafunzi wa DIPLOMA, that's why anashindwa ku-Copy mazingira.

Pia Lecturers huwa sio waalimu professionally.
I agree.
Japokuwa vijana wengi vyuoni wanapenda 'kubembelezwa' na sio kupewa ukweli mchungu.
I wish wengepitia kwenye kozi za Afya wangeona maneno makali wanayopewa vijana hususani kwenye mitihani ya wodini ndio wangejua elimu sio lelemama.
 
Bado najiuliza robot tatu ya darasa kufeli somo lako inakuaje sifa?
 
Back
Top Bottom