A
Itakuwa we huingiagi darasani au husomi!Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.
Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza yamejaa hofu, lecturer anakutafutia sababu ili uwe na makosa muda wote usihishi kwa amani
Hii sio eliimu hii ni intimidation. Wanafunzi wengi wamekata tamaa, wengine wanahamia vyuo vingine, baada ya kumaliza Diploma
Nina ushahidi wa haya, na ninaamini huu ni muda wa mamlaka husika kuchukua hatua. Heshima na haki kwa mwanafunzi si ombi, ni lazima.
Licha na hizo changamoto ambazo ni 'Common' kwa maLecturers walio wengi, ila vijana wa MoCu mnasifika kwa kutokusoma na kula bata sana hapo mjini Moshi.Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.
Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza yamejaa hofu, lecturer anakutafutia sababu ili uwe na makosa muda wote usihishi kwa amani
Hii sio eliimu hii ni intimidation. Wanafunzi wengi wamekata tamaa, wengine wanahamia vyuo vingine, baada ya kumaliza Diploma
Nina ushahidi wa haya, na ninaamini huu ni muda wa mamlaka husika kuchukua hatua. Heshima na haki kwa mwanafunzi si ombi, ni lazima.
Inaonekana huyu ni mwanafunzi wa DIPLOMA, that's why anashindwa ku-Copy mazingira.Licha na hizo changamoto ambazo ni 'Common' kwa maLecturers walio wengi, ila vijana wa MoCu mnasifika kwa kutokusoma na kula bata sana hapo mjini Moshi.
Bila 'Intimidation', vijana wa sasa ni ngumu kujisomea. Lazima mlazimishwe kusoma kwa njia hiyo ili kukamilisha kilichowapeleka chuoni.
I agree.Inaonekana huyu ni mwanafunzi wa DIPLOMA, that's why anashindwa ku-Copy mazingira.
Pia Lecturers huwa sio waalimu professionally.