Vitochi vinasaidia jamani asikwambie mtu smart inasubiri

Vitochi vinasaidia jamani asikwambie mtu smart inasubiri

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi

Kana saidia sana sanaaa
Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii

Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA ukiacha smart yako sebulen unaenda pasha pub unajua M23 watapiga kwenye kitochi tu na inakuwa salama na ndoa yako

Pia faida nyingine HATA ikitokea wazee WA kazi wakapambana na wewe usiku usibishane nao wakabidhi katafute 15-20. Asbh UKo angani wewe tu KURUDISHA line zako

PIa kinasaidia kureduce cost za kijinga kama internet..iwapo simu imekata charge ya smart phone basi utumiapo hii UJUE unaokoa mbs kadhaa ukumbuke zile simu smart n kama mapepo HATA kama huna MPANGO WA KUTUMIA mbs utashangaa unafungua tikitak sijui fesibukuu na wale wazee WA tekcnohama kuangalia miili ya watu ndioo balaa unashangaa wiki umeliwa 10000 + kisa internet

Na mengine mengi nisiwajazie hapa mengine mkafanye hmwk kama mlivyokuwa shulen mwenu..

Mwisho na watakia ubahilinmwema kwa wale watakaoshindwa kununua simu za kitochi watakapopita na smart yako utaifahamu kitochi na maana yake

Halleluyaah
 
Ukikutana na mwajuma ndala ndefu unakua unamcheki kule, inaokoa sana.
 
Back
Top Bottom