Vitoroli Kama hivi pichani vya shopping supermarket vinauzwa wapi?

Vitoroli Kama hivi pichani vya shopping supermarket vinauzwa wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu naulizia nielekezeni Kama Kuna anayejua duka ambalo nitapata hivi vitoroli aidha Cha metal au cha plastic hata kikiwa Cha mtumba sawa
images%20(7).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(1).jpeg
images%20(9).jpeg
 
Ukikosa unaweza kuchonga vya chuma vinavyofanana nahivyo au agiza china
Ok.kuna mtu amenishauri niagize KIKUU ila kitawasali baada ya mwezi na Mimi nashida nacho haraka Sana kiwe standard sitaki vya kuchomesha vinakuwa vizito Sana otherwise unishauri mafundi gani na wapi wanauwezo wa kutengenza kikatoka smart..
 
Huo ushauri wa kuagiza kIKUU upo sawa kabisa kitu kinakuja na quality zake..
Haya bongo mafundi wanaweza kutengeneza laki i hakiwezi kuwa chepesi sana kama hvyo vya kwenye picha...ila cha hapa bongo kitadumu sana
 
Back
Top Bottom