ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu naulizia nielekezeni Kama Kuna anayejua duka ambalo nitapata hivi vitoroli aidha Cha metal au cha plastic hata kikiwa Cha mtumba sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.kuna mtu amenishauri niagize KIKUU ila kitawasali baada ya mwezi na Mimi nashida nacho haraka Sana kiwe standard sitaki vya kuchomesha vinakuwa vizito Sana otherwise unishauri mafundi gani na wapi wanauwezo wa kutengenza kikatoka smart..Ukikosa unaweza kuchonga vya chuma vinavyofanana nahivyo au agiza china
Ok.kuna mtu amenishauri niagize KIKUU ila kitawasali baada ya mwezi na Mimi nashida nacho haraka Sana kiwe standard sitaki vya kuchomesha vinakuwa vizito Sana otherwise unishauri mafundi gani na wapi wanauwezo wa kutengenza kikatoka smart..