Ok.kuna mtu amenishauri niagize KIKUU ila kitawasali baada ya mwezi na Mimi nashida nacho haraka Sana kiwe standard sitaki vya kuchomesha vinakuwa vizito Sana otherwise unishauri mafundi gani na wapi wanauwezo wa kutengenza kikatoka smart..

Huo ushauri wa kuagiza kIKUU upo sawa kabisa kitu kinakuja na quality zake..
Haya bongo mafundi wanaweza kutengeneza laki i hakiwezi kuwa chepesi sana kama hvyo vya kwenye picha...ila cha hapa bongo kitadumu sana