Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi

Hapa tumeambulia chochote
 
Ndio umeanza kozi yako ya urubani.... usitutishee bado hujaelewa somo..... Google itakufelisha
 
Usafiri wa anga ni wa haraka, lakini ni hatari sana ikiwa itatokea hitilafu yoyote.

Ndege ikiwa inaenda juu, unafeel kabisa kama inakunyanyua hivi, ila ile feeling wakati inakwenda chini, kama ndege itakwenda chini kwa kasi, huwezi kustahamili ile hali.

Yaani ni kama umetupwa kutoka juu angani.

Me iliwahi kunikuta safari moja, ndege ilikuwa inaenda kutua, lakini haikuwa kawaida, maana Rubani alikuwa akiipeleka juu na wakati mwingine kuirudisha chini kwa kasi.

Nikajisemea yaani ikitokea ndio ndege inaporomoka kutoka juu kwenda chini, nadhani kuna watu watakuwa wameshakata moto kabla hata ndege haijafika chini.

Ni hatari.
 
Usafiri wa anga ni wa haraka, lakini ni hatari sana ikiwa itatokea hitilafu yoyote.
Hata bodaboda ni hatari sana ikiwa itatokea hitilafu yoyote. Kwa hiyo jipe moyo usiogope mkuu.
Ndege ikiwa inaenda juu, unafeel kabisa kama inakunyanyua hivi, ila ile feeling wakati inakwenda chini, kama ndege itakwenda chini kwa kasi, huwezi kustahamili ile hali.
Hayo ndo "Mapozi" ya ndege yoyote inaposhuka chini au kutua. Huwa haishuki kama jiwe linalodondoka.
Yaani ni kama umetupwa kutoka juu angani.

Me iliwahi kunikuta safari moja, ndege ilikuwa inaenda kutua, lakini haikuwa kawaida, maana Rubani alikuwa akiipeleka juu na wakati mwingine kuirudisha chini kwa kasi.
Wewee, feelings ulizokuwa unaexperiance kwa kiasi kikubwa zilikuwa ni za tumbo lako, mapafu yako na kiasi fulani mabadiliko ya Altitude na force of Gravity dhidi yako. Ukiwa ni msafiri kwa mara ya kwanza kweli huo ni mtihani kwako. Wengine huwa wanawekewa vikombe (tea cups) kama msaada masikioni kupunguza maumivu ya masikio ndege inapoenda kutua.
Nikajisemea yaani ikitokea ndio ndege inaporomoka kutoka juu kwenda chini, nadhani kuna watu watakuwa wameshakata moto kabla hata ndege haijafika chini.

Ni hatari.
Hili Ni kweli na ni bayana esp. kwa wenye shinikizo la damu au matatizo ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…