Swahili Marketer
Member
- Aug 22, 2022
- 9
- 8
Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online
Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa
Lakini tofauti ya kuuza online na offline, ni kwamba Mteja wa online mnakuwa hamuonani..
Probably hamjuani kabisa.. Na amekutafuta kwa simu au DM/WhatsApp
Sasa Usipokua nao makini kuanzia pale mnapowasiliana...
Utajikuta unaishia Kuulizwa tu maswali lakini hawanunui
Wanakupa zile swaga za "OK Nitakucheki"
Lakini hawarudi ng'oo [emoji28]
Sasa, Unajipangaje Kupunguza changamoto hizo na kuweza kuwauzia vizuri Wateja wa Online?
Anza kwa kujifunza vitu hivi 3 ambavyo huwa Wanapenda kuvifahamu kabisa:
1. BEI ZAKO ZIPOJE?
- Jitahidi kuweka bei zako wazi, ili mteja asianze kukutafuta anaulizia bei kisha anakukimbia
- Tambua pia sio kila mtu anaweza bei zako, hivyo usiwe na wasiwasi na watu hawa
- Weka bei ili Kuwapunguza.. Na ujue kabisa mteja anayekutafuta, tayari anajua bei zako... So mkiongea ni vitu vingine
- Achana na zile mambo za DM for Prices [emoji28][emoji28]
2. LOCATION YAKO
- Hii inawahusu sana sana wale wanaouza bidhaa (products)
- Lakini hata watoa huduma pia, maana kuna swala la kufanya appointments na wateja
- So, hakikisha Unafahamika ulipo na mteja anajua kabisa kama mnaweza kufanya Biashara au lah
- Itakusaidia kuokoa muda wako na wa mteja pia
3. JE, UNAAMINIKA?
- Mitandaoni siku hizi kumejaa Matapeli, ukikaa vibaya unapigwa mchana kweupe
- Kesi za watu kutapeliwa ni nyingi mno, mtu anasema yuko Zanzibar.. Ukimtumia Hela tu umeliwa
- Hivyo wateja wa online wananzingatia sana suala la uaminifu,hadi akutumie hela yake
- Jitahidi katika marketing yako.. Uioneshe Biashara yako kama ni ya kuaminika
- Kama una duka.. Washawishi wateja wanaoweza kufika wafike
Mfano:Waambie utawapa discount wateja wa online watakaokuja dukani [emoji5]
Je, wewe wateja wako wa online huwa wanakuuliza maswali gani?
Niambie hapo katika comments
.
.
.
Endelea Kufuatilia Posts zinazokuja ili ujifunze kuhusu Digital Marketing kwa Biashara yako
Na kama una swali lolote kuhusu Sponsored Ads usisite kuuliza hapa, nitakujibu
Tukutane Next Post 🙂
#digitalmarketingswahili #matangazoacademy #swahilimarketer