Vitu 3 Wateja wa Online Wanapenda sana Kufahamu kutoka kwako Mfanyabiashara

Joined
Aug 22, 2022
Posts
9
Reaction score
8
Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online

Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa

Lakini tofauti ya kuuza online na offline, ni kwamba Mteja wa online mnakuwa hamuonani..

Probably hamjuani kabisa.. Na amekutafuta kwa simu au DM/WhatsApp

Sasa Usipokua nao makini kuanzia pale mnapowasiliana...

Utajikuta unaishia Kuulizwa tu maswali lakini hawanunui

Wanakupa zile swaga za "OK Nitakucheki"

Lakini hawarudi ng'oo [emoji28]

Sasa, Unajipangaje Kupunguza changamoto hizo na kuweza kuwauzia vizuri Wateja wa Online?

Anza kwa kujifunza vitu hivi 3 ambavyo huwa Wanapenda kuvifahamu kabisa:

1. BEI ZAKO ZIPOJE?

- Jitahidi kuweka bei zako wazi, ili mteja asianze kukutafuta anaulizia bei kisha anakukimbia

- Tambua pia sio kila mtu anaweza bei zako, hivyo usiwe na wasiwasi na watu hawa

- Weka bei ili Kuwapunguza.. Na ujue kabisa mteja anayekutafuta, tayari anajua bei zako... So mkiongea ni vitu vingine

- Achana na zile mambo za DM for Prices [emoji28][emoji28]

2. LOCATION YAKO

- Hii inawahusu sana sana wale wanaouza bidhaa (products)

- Lakini hata watoa huduma pia, maana kuna swala la kufanya appointments na wateja

- So, hakikisha Unafahamika ulipo na mteja anajua kabisa kama mnaweza kufanya Biashara au lah

- Itakusaidia kuokoa muda wako na wa mteja pia

3. JE, UNAAMINIKA?

- Mitandaoni siku hizi kumejaa Matapeli, ukikaa vibaya unapigwa mchana kweupe

- Kesi za watu kutapeliwa ni nyingi mno, mtu anasema yuko Zanzibar.. Ukimtumia Hela tu umeliwa

- Hivyo wateja wa online wananzingatia sana suala la uaminifu,hadi akutumie hela yake

- Jitahidi katika marketing yako.. Uioneshe Biashara yako kama ni ya kuaminika

- Kama una duka.. Washawishi wateja wanaoweza kufika wafike

Mfano:Waambie utawapa discount wateja wa online watakaokuja dukani [emoji5]

Je, wewe wateja wako wa online huwa wanakuuliza maswali gani?

Niambie hapo katika comments

.
.
.

Endelea Kufuatilia Posts zinazokuja ili ujifunze kuhusu Digital Marketing kwa Biashara yako

Na kama una swali lolote kuhusu Sponsored Ads usisite kuuliza hapa, nitakujibu

Tukutane Next Post 🙂

#digitalmarketingswahili #matangazoacademy #swahilimarketer
m2.jpg
 
hili ni tatizo sugu

kusipokua na bei na-assume ni mpigaji, na mara nyingi bei unakuta ni tofauti kwa kila mteja atakayemDM

sawa na Karume, bei ya unapigwa kulingana na muonekano wa mteja
Wengi wakiona Hamna bei wanaacha,

Au wanauliza na kupotea

Bora urahisishe kwa kuweka ata bei ya kuanzia

Ili mteja akikufata mnaanza negotiations
 
Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online

Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa

Lakini tofauti ya kuuza online na offline, ni kwamba Mteja wa online mnakuwa hamuonani..

Probably hamjuani kabisa.. Na amekutafuta kwa simu au DM/WhatsApp

Sasa Usipokua nao makini kuanzia pale mnapowasiliana...

Utajikuta unaishia Kuulizwa tu maswali lakini hawanunui

Wanakupa zile swaga za "OK Nitakucheki"

Lakini hawarudi ng'oo [emoji28]

Sasa, Unajipangaje Kupunguza changamoto hizo na kuweza kuwauzia vizuri Wateja wa Online?

Anza kwa kujifunza vitu hivi 3 ambavyo huwa Wanapenda kuvifahamu kabisa:

1. BEI ZAKO ZIPOJE?

- Jitahidi kuweka bei zako wazi, ili mteja asianze kukutafuta anaulizia bei kisha anakukimbia

- Tambua pia sio kila mtu anaweza bei zako, hivyo usiwe na wasiwasi na watu hawa

- Weka bei ili Kuwapunguza.. Na ujue kabisa mteja anayekutafuta, tayari anajua bei zako... So mkiongea ni vitu vingine

- Achana na zile mambo za DM for Prices [emoji28][emoji28]

2. LOCATION YAKO

- Hii inawahusu sana sana wale wanaouza bidhaa (products)

- Lakini hata watoa huduma pia, maana kuna swala la kufanya appointments na wateja

- So, hakikisha Unafahamika ulipo na mteja anajua kabisa kama mnaweza kufanya Biashara au lah

- Itakusaidia kuokoa muda wako na wa mteja pia

3. JE, UNAAMINIKA?

- Mitandaoni siku hizi kumejaa Matapeli, ukikaa vibaya unapigwa mchana kweupe

- Kesi za watu kutapeliwa ni nyingi mno, mtu anasema yuko Zanzibar.. Ukimtumia Hela tu umeliwa

- Hivyo wateja wa online wananzingatia sana suala la uaminifu,hadi akutumie hela yake

- Jitahidi katika marketing yako.. Uioneshe Biashara yako kama ni ya kuaminika

- Kama una duka.. Washawishi wateja wanaoweza kufika wafike

Mfano:Waambie utawapa discount wateja wa online watakaokuja dukani [emoji5]

Je, wewe wateja wako wa online huwa wanakuuliza maswali gani?

Niambie hapo katika comments

.
.
.

Endelea Kufuatilia Posts zinazokuja ili ujifunze kuhusu Digital Marketing kwa Biashara yako

Na kama una swali lolote kuhusu Sponsored Ads usisite kuuliza hapa, nitakujibu

Tukutane Next Post 🙂

#digitalmarketingswahili #matangazoacademy #swahilimarketerView attachment 2335347
Uzi safi sana.... naplan kufanya sponsored ads hivi karibuni . kuna kitu nmepata, Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom