Vitu ambavyo haviwezekani

Vitu ambavyo haviwezekani

Tanzania kuwa nchi iliyoendelea chini ya uongozi wa CCM!

Tanzania kujinasua kutoka LCD ikiwa chini ya Magufuli

Tanzania kuifunga Zanzibar Heros huku wizara ya michezo ikiwa chini ya Mwakyembe
du!
 
Sisi Ndio kiswahili Cha kwetu bado watu tuna kiharibu namna hii inasikitisha tafadhalini jamani pitieni mnacho andika kabla hamja peleka kwa wengine asanteni
 
Haitaweza kutokea Tanzania ikawa nchi ya viwanda chini ya uongozi wa ccm
 
Back
Top Bottom