Vitu ambavyo haviwezekani

Vitu ambavyo haviwezekani

Sisi Ndio kiswahili Cha kwetu bado watu tuna kiharibu namna hii inasikitisha tafadhalini jamani pitieni mnacho andika kabla hamja peleka kwa wengine asanteni
wewe toka lini kiswahili kakawa cha kwako, usijitie mkosoaji huku hukijui vizuri. nawashangaa sana watu kama wewe hivi unaju kuna misamiati mingapi kwenye kiswahili?
 
Sisi Ndio kiswahili Cha kwetu bado watu tuna kiharibu namna hii inasikitisha tafadhalini jamani pitieni mnacho andika kabla hamja peleka kwa wengine asanteni
Asanteni =ahsanteni

Anza wewe kupitia ulicho andika
 
Sisi Ndio kiswahili Cha kwetu bado watu tuna kiharibu namna hii inasikitisha tafadhalini jamani pitieni mnacho andika kabla hamja peleka kwa wengine asanteni
Ww ulipitia kabla ya kuileta hapa?,hakuna alama za mkato wala nukta....[emoji15]
 
Kakuta nafasi zote za Uongozi Chadema Watu wamebadilika kasoro nafasi ya Uenyekti!

Shkh pohamba!!! Nidokeze kidogo kuhusu babu seya....alikuwa nani pale chadema? Mara oh kashangaa kusikia mbowe akiwa bado mwenyekiti...kulikoni shkh wangu!!!
 
Back
Top Bottom