Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

Zuhura sijapenda kabisa.
View attachment 3026163
Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio makubwa uliyopata.
View attachment 3026167
Zuchu hichi nini? Kwa nini hauli vyakula vyenye ubora au kwanini hupati mlo uliokamilika. Ona sasa ulivyoumuka pasipo mpangilio. Ushauri Fanya sana mazoezi ya mapaja na deep squat ili ujenge misuli kwenye tako lako la pembeni. embu mtafute kings of squat urekebishe.
View attachment 3026172
Kijana mdogo una pesa lakini unashindia kula mavyakula ya ajabu ajabu! ( fast food). Ona sasa matokeo lipedema imekuanza, kazi kungonoka tu na Domo sijui nani alikudanganya kwamba yale ndo mazoezi.
View attachment 3026174
Stop bleaching your skin, ona sasa Vitiligo inakunyemelea.


WANAWAKE MKIAMUA KUCHAMBANA ... HATARI SANA. NI NANI HUYO ZUHURA? SI MWAMBIANE HUKO HUKO MPAKA UTULETEE HUKU HABARI ZAKE.
 
Baada ya tako la kichina kuna na matako ya pembeni siku hizi na hatuambiani
 
Back
Top Bottom