Vitu ambavyo sio vya kufumbia macho ukiwa mwanaume

MAWEED

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
3,550
Reaction score
12,239
Salaam, twende kwenye mada,

Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya;

1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato.
2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa.
3. Kumpondea mwanaume mwenzako kwa mwanamke.
4. Kutokuwa na manzi/kutofanya mapenzi.
5. Kutovaa mavazi safi/kupendeza.
6. Kutokuwa na fani aina yoyote.
7. Kutokuwa na communication skills.
8. Kutokuwa na tabia ya kutunza akiba.
9. Kuridhika na chanzo cha mapato aina moja.
10. Kutokua risk taker.

Kuwa mwanaume kazi sana wakuu.

CREDIT: Mkaka Fulani
 
12. Kutokuwa tunza wazazi wako, na kuaamishia upendo wote kwa mwanamke na familia yake.

Kutunza kupi mkuu!? Kwa upendo wa kujuliana hali!? chakula!? Malazi? Au matibabu?
Maana kuna sheria zingine zinategemea na hali ya wazazi alonao mtu

Mungu atusaidie atubariki wazazi ili tuwategemeze watoto wetu
 
Umeandika Sheria nyng lkn sio lazima zote zi apply maana tunapita ktk nyakati tofauti za msoto na Mambo hubadilika.
Kikubwa tusivunje sheria za stawi wa wenzetu basi
 
Umeandika Sheria nyng lkn sio lazima zote zi apply maana tunapita ktk nyakati tofauti za msoto na Mambo hubadilika.
Kikubwa tusivunje sheria za stawi wa wenzetu basi
Mwaveja lolo
 
Namba 10 ndo sifa kuu ya a successful man.
 
,niaje ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ