B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Wakuu mambo niaje!!ebana leo nimekumbuka matukio ambayo niliyafanya udogoni au niliyaona ambayo kwa kiasi flani hayajafutika katika kichwa changu.
Niaze na hi, kitambo sana nazani niko standard one,mshua alikua na bar ya mbegee sanawari pale[arusha]miaka ya 1990 kweusi, basi asubui dingi alikua lazima atuamshe mimi na bro wangu saa kumi na mojaa,tunaenda nae kupokea mbege, kipindi hiyo kuna ma Toyota dume yanatoka moshi kabisa kuleta mbege arusha[mfano kuna digi alikuwa anaitwa mandarara] alikuwa supplier wa msua.unaambiwa tukisha pokea gari kuna mbege original tunawekewa chubuku ndogo mi na bro wangu kila mtu yake inapigwa kilemba.tuna gidaa then ndo tunaenda shule. ukumbuke hapo tumeshavyalishwa uniform hahaha.[bar ilikua sio mbali na shule. huwa nikifikiria nacheka sana na jisimea hivi msua alikuwa anawazaga nini?kutupeleka bar wadogo vile.
Hiyo hiyo sanawari, miaka hiyo hiyo ya tisini, tulikuwa na beki tatu wetu bana, mdada mtu mzima, sasa yeye alikuwa watu wakishatoka asubui kwenda makazini na watoto shule huwa, anachomoka anaenda kupigwa mashine kwenye chumba cha jirani[bro flani hivi]nikirudi saa tano ile kutoka shule nakuta kashanipikia au kaniachia kihela na enda kula mandazi, basi siku moja akaenda kupigwa mashine alafu hakuacha msosi wala hela, saa mi nikawa nalia njaa,kuna bro flani wa mtaa akaniona, nikilia nimamuelezea akaniambia njoo umuone dada ako anafanya nini?kwenye nyumba kuna viupenyo vinakuanga juu kwenye lenta,akanibeba akaniambia chungulia, dah nikaona dada anagegedwa, jamaa akaniambia nenda kamwambie baba ako,hahah nikatoka nduki hadi bar kwa mshua, nikamwambia baba dada hajapika na yuko kwa S anafanya tabia mbaya
Dingi akafura kama kobra,hao mguu kwa mguu adikwenye hicho chumba,msua akagonga kama dakika 15 jamaa akatoka kifua wazi,akamsalimu mzee,mzee akashum pumbafu sana na mtaka binti yangu....jamaa,binti yako hayumo humu akafungua mlango ilikuwa ni chumba kimoja,dah mi nikakomaa yupo,nikaambiwa kamtaftue,mselaa vyuu hadi uvunguni hahaha dada ananioneshea kidole ishara ya kunyamaza, minika ropoka baba huyu huku,kilichoendea dah!!ila ilisaidia maana jamaa alimuowa huyo demu na wamezaa nae watoto watatu.huyu dada now nikikutana nae ananicheka sana.