Vitu ambavyo wanaume hawapendi kutoka kwa wenza wao.

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
1.Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi wao.
mwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli.Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini?weka balbu bwana.Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2.Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele,mlalamishi.
Yeye ni kulalamika kuanzia jumatatu hadi jumapili.Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa.Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3.Wanaume hawapendi mwenzi mchafu.
Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi.Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.

4.Wanaume hawapendi mwenzi mbishi.
Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi.Utampa mwanaume ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5.Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao.
Mwenzi mbabe anaetoa amri na kumtawala hawataki.

6.Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na kusachiwa sachiwa.
Kumpekua kwenye simu,mifuko ya suruali kwambaa unamulika mwizi.Hawapendi tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya wahisiwe vibaya.

Hizi ni baadhi tu nimekuwekea hapa
SOURCE😀INA MARIOS BLOG
 
Mimi hiyo no.3 ndio sipendi kuliko unavyofikiri,..bora awe mchawi kuliko mchafu..lo!
 
kwa hiyo ben kinyaia si riziki? mmh!

Ni Mario flani

ben_kinyaia.jpg
 
mmh! na nyusi katinda kabidada ama kweli hamjamsingizia
 
1.Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi wao.
mwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli.Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini?weka balbu bwana.Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2.Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele,mlalamishi.
Yeye ni kulalamika kuanzia jumatatu hadi jumapili.Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa.Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3.Wanaume hawapendi mwenzi mchafu.
Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi.Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.

4.Wanaume hawapendi mwenzi mbishi.
Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi.Utampa mwanaume ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5.Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao.
Mwenzi mbabe anaetoa amri na kumtawala hawataki.

6.Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na kusachiwa sachiwa.
Kumpekua kwenye simu,mifuko ya suruali kwambaa unamulika mwizi.Hawapendi tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya wahisiwe vibaya.

Hizi ni baadhi tu nimekuwekea hapa
SOURCE😀INA MARIOS BLOG

Nakapanya, wanaume pia hawapendi mwanamke asiye na siri. Mambo ya uvunguni anaenda kuyasemea juu ya bati
 
Last edited by a moderator:
cha kwanza kabisa wanume hawapendi kunyimwa unyumba hapa lazima atafte altenative. Na hilo la kwanza ndo liwe la 2 baada ya unyumba
 
ndio maana wanasema, kuishi vizuri na mume, mpende kidogo, ila umuelewe kwa sanaaa

maisha yanakuwa burudan ingawa sometimes tc too hard kuwaelewa hawa viumbe, kwa mfano....
kuna kipind nilikuwa nagombana sana na husby kisa hapendi nimuulize yuko wap...anadai maswali kama hayo yanamshushia hadhi kwa wenzie, nikaona poa, nikaacha kuuliza kiac kwamba hata kama kachelewa vp kurud, siuulizi kwa kupiga sim, wala akija home, siuliz zaid ya kumuuliza ameshinda vipi, na wala sigombani nae au kumkasirikia anaporud amechelewa, haikupita hata mwez akaanza kunipigia mwenyewe akilalamika vipi siku hizi mbona sijali tena yuko wapi na nan, na anafanya nini,..tena akaongezea au labda nimewekeza kwa mwingine....nikachoka kwa kweli...
 
1.Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi wao.
mwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli.Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini?weka balbu bwana.Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2.Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele,mlalamishi.
Yeye ni kulalamika kuanzia jumatatu hadi jumapili.Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa.Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3.Wanaume hawapendi mwenzi mchafu.
Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi.Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.

4.Wanaume hawapendi mwenzi mbishi.
Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi.Utampa mwanaume ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5.Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao.
Mwenzi mbabe anaetoa amri na kumtawala hawataki.

6.Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na kusachiwa sachiwa.
Kumpekua kwenye simu,mifuko ya suruali kwambaa unamulika mwizi.Hawapendi tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya wahisiwe vibaya.

Hizi ni baadhi tu nimekuwekea hapa
SOURCE😀INA MARIOS BLOG
Namba 1 na 6 mimi simo.
Napenda mtu ajiamini aseme tu - (Mume wangu nunua shamba
cahanika litatusaidia baadae) - Poa tu hakuna tatizo.

Najiamini hata akipekuwa kwangu powa tu na hata mimi nitapekua
ya kwake.
 
Kuna siku coaligue alitamka ' unajua kufuatiliwa na kugombezwa kuna raha yake eeh'
nilifurahi kujua hiyo siri.
Relations kila moja ina yake. Kuna mwanaume hawezi kufanya jambo bila kukubaliana na mkewe. Mwanamke ni kama dira, mwanume ni kichwa.
 
ndio maana wanasema, kuishi vizuri na mume, mpende kidogo, ila umuelewe kwa sanaaa

maisha yanakuwa burudan ingawa sometimes tc too hard kuwaelewa hawa viumbe, kwa mfano....
kuna kipind nilikuwa nagombana sana na husby kisa hapendi nimuulize yuko wap...anadai maswali kama hayo yanamshushia hadhi kwa wenzie, nikaona poa, nikaacha kuuliza kiac kwamba hata kama kachelewa vp kurud, siuulizi kwa kupiga sim, wala akija home, siuliz zaid ya kumuuliza ameshinda vipi, na wala sigombani nae au kumkasirikia anaporud amechelewa, haikupita hata mwez akaanza kunipigia mwenyewe akilalamika vipi siku hizi mbona sijali tena yuko wapi na nan, na anafanya nini,..tena akaongezea au labda nimewekeza kwa mwingine....nikachoka kwa kweli...

Teh teh teh Sisi ndio wanaume bwana, Tunabadirika kutokana namazingira.
 
Mwanaume anapenda mwanamke anayem surprise surpise, unarudi home kutoka job unamkuma wifey amejiremba as if mnatoka kumbe amejipendezesha tu kukufurahisha. Huwa napenda sana hii. Sio unarudi unakuwa unajua utamkuta kavaa dira na unamkuta hivyo hivyo kila siku. Inaboa.
 
umeona enh?
 
Back
Top Bottom