Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
China wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!Siyo kila kilichoandikwa made in China ni kweli kimetoka china. Vingine vinazalishwa Tabata. Na si kweli kuwa China wanazalisha bidhaa fake tu na original wanavyo
China wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!
Mihangaiko inawaficha watuWashawashaa hivi matola yupo wapiii
Tatizo MKUU ni kuuziwa fake KWA bei ya originalChina wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!
Bei ya original unaijua?Tatizo MKUU ni kuuziwa fake KWA bei ya original