Vitu fake vya Uchina

Vitu fake vya Uchina

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Sikh moja jamaa mmoja aliingia dukani kwa mchina na kumwambia mchina kuwa
Jamaa:vitu vyote vilivyomo humu kutoka Uchina ni fake
Mchina:thubutu! Ijaribu sumu ya panya kama fake
Nalog off
 
Siyo kila kilichoandikwa made in China ni kweli kimetoka china. Vingine vinazalishwa Tabata. Na si kweli kuwa China wanazalisha bidhaa fake tu na original wanavyo
 
China wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!
 
Original vikija hatununui, na mwenye hiyo frame atafilisika afunge kabisa. Bora viendelee kuja hivyohivyo feki.
 
China wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!

True
 
Tatizo MKUU ni kuuziwa fake KWA bei ya original
 
Back
Top Bottom