Vitu gan umevipiga “BAN”

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
920
Ili usonge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!

Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge

Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!

Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban


Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
 
nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…