Vitu gan umevipiga “BAN”

Vitu gan umevipiga “BAN”

hongera mkuu, kwangu madem nimeweka kando,
Tatizo lipo kwenye Betting nashindwa kuacha kabsa

[emoji23][emoji23][emoji3]Namm bado kuna vitu vinanishinda kuviacha ila naanza navile ninavoweza…..

We endelea kupiga BAN kwanza unavoviweza Hivo itakupa nguvu siku moja utapiga BET ban na hutaamini
 
Kila nki ona coca moyo wangu una kits .nme kua addicted na hii kitu sanaa ila sina jinsi nme ipiga ban week ya 2 sasa

IMG_0608.jpg

Hamna kitu nilikua napenda kama hii

Lakin saizi[emoji706]
 
Bora mkuu kama una maslahi nayo kama vile biashara
Ila kupoteza mda na kucheka kama mwehu hapana kwa kweli
Tiktok haikunifundisha kitu kabisa na sio mfaidika kama wengine

Ni kweli saizi plan nikupiga BAN
istagram[emoji706]
Facebook[emoji706]

Saizi naanza twitter,jf na nimejiunga Quora naona atleast kidogo kuna vitu na gain
 
Back
Top Bottom