Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Kama vya kwako 👍Ili usinge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!
Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge
Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!
Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban
Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
5. Mmbadala ni nini?Vitu Nilivovipiga ban 2023
1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
Mpaka useme, hujasema🤣Ili usinge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!
Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge
Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!
Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban
Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
Mpaka useme, hujasema[emoji1787]
Hawara hatongozwiMadanga jamani🤣🤣.... nimeamua kutulia na Baba K wangu....mahawara na wakome🤣
5. Mmbadala ni nini?
Piga ban mademu badala yake ni mazoezi
Piga BAN Anasa ,Pombe,kitimoto,zinaa,Bangi,sigara,unga ,Ps,kuhonga, nk
ulikua teja wa unga mkuuPiga BAN Anasa ,Pombe,kitimoto,zinaa,Bangi,sigara,unga ,Ps,kuhonga, nk
Mbona hujasem kuhus kubet umeona unga tu mkuu😅😅ulikua teja wa unga mkuu
unga ni hatari sanaMbona hujasem kuhus kubet umeona unga tu mkuu😅😅
Piga BAN Kataa ndoa
KIJANA OA SASA
Piga ban kadi za ccm mbona hamsemi.
Situmii mkuu nilkua natoa angalizo kwa jamii hususani vijanaunga ni hatari sana
Piga BAN Anasa ,Pombe,kitimoto,zinaa,Bangi,sigara,unga ,Ps,kuhonga, nk