Vitu gani ambavyo ni mtego?

Demu mmoja alikuja geto nisha mpiga mashine vya kutosha sa ameoga amesha vaa kabisa halafu ana anza visingizio "halafu baby najiskia kuchoka mara baby halafu nausingiz mara utaskia halafu kule naenda hostel hamna hata ishu ya maana ya kufanya"
Nika jua huu MTEGO anataka nimwambie alale mpaka kesho ikabidi niupangue kwa kusema ucjal baby we jikaze tu uende ukifika huko utalala tu...
Maana nilikuwa na mpango wa kuingiza goma lingine la kulala nalo mpaka asubuhi angenihalibia ratiba zangu tu.
 
Wafanyie wenzako hivyo watoto wako wa kike watafanyiwa hivyo hivyo na utashuhudia kabla hujafa.

Malipo ni hapa hapa. Ukifikisha miaka 55 utakumbuka hii comment yangu.
 
Baby nikuambie kitu? Huo ni mtego. Jibu sitaki uniambie chochote au kama unataka akuambie muulize: Unataka shilingi ngapi baby? Hapo utakuwa umetegua mtego.
 
Wafanyie wenzako hivyo watoto wako wa kike watafanyiwa hivyo hivyo na utashuhudia kabla hujafa.

Malipo ni hapa hapa. Ukifikisha miaka 55 utakumbuka hii comment yangu.
Hehehe Mkuu makasiriko yote hayo kwani yanatoka wapi...
Na mimi najua watoto wangu watafanyiwa hivyo ndiyo maana inabidi na mimi nifanye kwa nguvu zangu zote.
 
Utashangaa ushamuweka mimba na hapo hachomoki kwako.
Akishaona unakaa Apartment kali tu, mixer watasha na gabachori wa kumwaga... salamu za kimombo, umeme haukatiki. Pananukia bila kufukizwa udi wala Air-freshner, mageti yanafungwa na kufunguliwa kwa remote... ukifungua dirisha una-face bahari wanaanza...

"Mara ooh! Babe natamani nisifanye kazi, nikae na wewe kwako nikuhudumie mpenzi naona hutaweza ku-handle mambo yako yote alone hasa ya nyumbani, biashara zangu zinaweza niingizia pesa hata nikiwa home tu"

Nikamuwasha na block na nikamwambia mlinzi akija sema nimehama πŸ˜…
 
Hahaha kaka unatafuna maisha aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…