Vitu gani ambavyo ni mtego?

Vitu gani ambavyo ni mtego?

1. Ukiwa unaondoka ugenini wakakwambia mbona haraka, usiondoke kesho usubiri kesho kutwa n.k huo ni mtego. Ondoka, hapo wanajikosha tu.

2. Unaaga kwenda kazini, mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo, huo ni mtego, ukibaki unajipunguzia credits.

3. Unaongea na mtu af anasema nikipata vocha ntampigia af nitakupa majibu, au nikipata hela ntafanya x. Huo ni mtego.

4. Unabembelezwa kutoa siri, unaambiwa ' ukiniambia mimi simwambii mtu' huo ni mtego

5. Amekuacha kwa akaenda kwa mwingine, kisha anarudi kusema we ndo anakupenda, huo ni mtego, ni uongo

Mtego mwingine?
nimwambie au utamwambia mwenyewe?
 
Akishaona unakaa Apartment kali tu, mixer watasha na gabachori wa kumwaga... salamu za kimombo, umeme haukatiki. Pananukia bila kufukizwa udi wala Air-freshner, mageti yanafungwa na kufunguliwa kwa remote... ukifungua dirisha una-face bahari wanaanza...

"Mara ooh! Babe natamani nisifanye kazi, nikae na wewe kwako nikuhudumie mpenzi naona hutaweza ku-handle mambo yako yote alone hasa ya nyumbani, biashara zangu zinaweza niingizia pesa hata nikiwa home tu"

Nikamuwasha na block na nikamwambia mlinzi akija sema nimehama 😅
Una tofauti gani na taleban?
 
1. Ukiwa unaondoka ugenini wakakwambia mbona haraka, usiondoke kesho usubiri kesho kutwa n.k huo ni mtego. Ondoka, hapo wanajikosha tu.

2. Unaaga kwenda kazini, mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo, huo ni mtego, ukibaki unajipunguzia credits.

3. Unaongea na mtu af anasema nikipata vocha ntampigia af nitakupa majibu, au nikipata hela ntafanya x. Huo ni mtego.

4. Unabembelezwa kutoa siri, unaambiwa ' ukiniambia mimi simwambii mtu' huo ni mtego

5. Amekuacha kwa akaenda kwa mwingine, kisha anarudi kusema we ndo anakupenda, huo ni mtego, ni uongo

Mtego mwingine?
Kuweni na subira serikali inalifanyia kazi! Jiongeze ndo imetoka hio!
 
Una tofauti gani na taleban?
Sitaki wanawake wanaotaka ku-flex maisha mitandaoni kupitia migongo ya wanaume.

Kalihangaika sana kunitafuta, mpaka kakatafuta namba ingine kakanitumia ujumbe mzito mpaka nikamuonea huruma na video juu! Kwamba yupo hospital kawekewa na drip eti preasure imemshuka tangu nimuache kimafia... madai yake alinipenda sana! Hapa nikajua binti alikuwa kashanipigia mahesabu Kumamae zake 😅👍🏾
 
Aliniambia nifanye hivyo eti kwasababu dokta kamwambia ni dawa ya tatizo lake la tumbo kuuma .

Nikasanuka na mi nikamwambia babu yangu alisema yeyote atakezaa nje ya ndoa amemuachia laana kwahiyo nikifanya hivyo naweza kuchanganyikiwa.
Ulitisha mkuu 🤣, Sasa hivi ingekua imeingia txt pesa ya maziwa na dawa 100,000.
 
Back
Top Bottom