Vitu gani huwezi fanya bila mwanamke/mwanaume

Sababu nini mkuu?
niko ugenini na ni walokole wote, na mi nimezoea kurudi home saa nne nikiwa nimetupia. juzi nimejichanganya nikaenda kunywa balimi baada ya kuzidiwa nimeenda chooni harufu ya pombe ilivyo baki wakaanza kukemea na kuongea siku nzima ikawa wimbo. nikaona sio kesi. ngoja nivunge
 
Pole sana mkuu jikaze tu kiume
 
Back
Top Bottom