077042018mkuu ni pm ..namba zake huyu"" Nina skin jeans nzuri nataka kumuuzia ..itamfaa aisee
Heheeeeeeee kukata gogo??Kukata gogo
mkuu unaweka picha profile ya balimi ujui wengine unatutia mzukaKuoga
[emoji23] [emoji23] kawaida tu ivyo mkuumkuu unaweka picha profile ya balimi ujui wengine unatutia mzuka
mi niko kwenye kifungo hapa nina adhabu ya kuto kunywa mwezi mzima.[emoji23] [emoji23] kawaida tu ivyo mkuu
Sababu nini mkuu?mi niko kwenye kifungo hapa nina adhabu ya kuto kunywa mwezi mzima.
niko ugenini na ni walokole wote, na mi nimezoea kurudi home saa nne nikiwa nimetupia. juzi nimejichanganya nikaenda kunywa balimi baada ya kuzidiwa nimeenda chooni harufu ya pombe ilivyo baki wakaanza kukemea na kuongea siku nzima ikawa wimbo. nikaona sio kesi. ngoja nivungeSababu nini mkuu?
Pole sana mkuu jikaze tu kiumeniko ugenini na ni walokole wote, na mi nimezoea kurudi home saa nne nikiwa nimetupia. juzi nimejichanganya nikaenda kunywa balimi baada ya kuzidiwa nimeenda chooni harufu ya pombe ilivyo baki wakaanza kukemea na kuongea siku nzima ikawa wimbo. nikaona sio kesi. ngoja nivunge
Poa poa mdau mimi nipo napiga K vant kusubiri game ya city na man unitedπππ
Unashangaa au unauliza????Heheeeeeeee kukata gogo??