Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

Ila usisahau Cholesterol ni Muhimu sana kwenye Utengenezaji wa Hormone ya Testesterone.. So Nyama Pia za Mafuta Kwa Kiasi ni Nzuri
 
Mm nkikaa wiki tu sijakamua kichupa kinajaa wala sijui nakulaga nn
 
Tupeane msaada juu ya hili kwan wengi tunatambua karanga tu je kuna vingine vinavyosaidia kuongeza?
chukua ndizi mbili karot mbili tikit kipande kula nyama tu usile na mbegu kisha shika kiuno kwa mikono miwili alafu fanya kama unacheza rege hivi kwa dk kaama 15 fanya kwa kupumzika kila baada ya dk moja fanya asubuh na jion kwa siku moja tu alafu upime kilo za mzigo utakaoutua ukipenda ongeza dozi upate mzigo mwingi
 

Attachments

  • 2017-01-08_06.32.25.jpg
    86.9 KB · Views: 50
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…