Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ngumu hakuna wa kum tapeli kizembe.. Hakuna Tiba za hivyo. Niuwizi
kuna watu wanapona kwa siku moja kwa kutumia kegel exerciseEti mtu apone kwa siku Tatu hivi kweli jamani huu si utapeli wa wazi kabisa
ok sawa naomba unitajie hiyo formula niliyokutumiaSijakimbia anko ila nina mambo mengi ya kufanya so nakosa mda wa kuanza kujibizana na wewe, nawatahadharisha vijana tu wasiingie kichwa kichwa eti wapate formula kwa sh elfu ishirini usawa wenyewe mgumu huu ohooooo
View attachment 457142 wewe unashangaa ninaetibu kwa siku tatu shangaa huyu anaetibu kwa masaa mawili unapona na kuondoka zako hii ni marekaniEti mtu apone kwa siku Tatu hivi kweli jamani huu si utapeli wa wazi kabisa
Sasa kwani huwezi KUTENGENEZA kitu ya hivo ukajitumia mwenyewe hizo mesejiView attachment 457128 kwa mfano huyu katokea jf hapa kanitumia malipo nimemtumia huduma na atleta mrejesho wiz upo wap
Asee dokta unazidi kujizalilisha.. Hamna kitu hapo wenye akili hutukamati..View attachment 457142 wewe unashangaa ninaetibu kwa siku tatu shangaa huyu anaetibu kwa masaa mawili unapona na kuondoka zako hii ni marekaniView attachment 457144
okSasa kwani huwezi KUTENGENEZA kitu ya hivo ukajitumia mwenyewe hizo meseji
Asee dokta unazidi kujizalilisha.. Hamna kitu hapo wenye akili hutukamati..
Shule gani hiyo..
Mbutaaa hii kule kwenu si mnaita siagi ya mbwaMaparachichi
ndo hapo alete hyo formula watu waipate na walete mlejesho sasa yy anafanya biashara humuKwanini hiyo formula usiitoe hapa km wadau wengine wanavyofanya ili kusaidia wengine