Vitu gani muhimu vya kuangalia na kukagua wakati wa kununua gari kwa mtu

Vitu gani muhimu vya kuangalia na kukagua wakati wa kununua gari kwa mtu

Masegense

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
114
Reaction score
199
Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tafuta fundi wa magari akukagulie ila hakikisha una mlipa vizuri na kusiwepo uwezekano wa fundi na muuzaji kuonana wala kujuana
 
Hapo mtafute fundi unayemuamini ....na mwisho wa yote hakikisha failii la gari liko salama ...usisahau kubadirisha kadi kwenye umiliki wako mambo yakiwa mukideeee
 
Hapo mtafute fundi unayemuamini ....na mwisho wa yote hakikisha failii la gari liko salama ...usisahau kubadirisha kadi kwenye umiliki wako mambo yakiwa mukideeee
Asante Kaka
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hapo mtafute fundi unayemuamini ....na mwisho wa yote hakikisha failii la gari liko salama ...usisahau kubadirisha kadi kwenye umiliki wako mambo yakiwa mukideeee
Asante Kaka
 
Baada ya ubora pia jiridhishe uhalali wa kadi Tra kabla ya kununua-Je kadi ni halali?Je gari lina exemption?Mmiliki halisi ni Nani?.Ukijiridhisha hayo waombe TRA list ya vitu vya kufanya ili ukifanikisha transfer utakapolinunua
 
Back
Top Bottom