Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,715
Reaction score
8,058
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
 
Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
 
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Huwa natoka nje kunusa harufu ya vumbi mvua inaponyesha, ni raha sana
 
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Kusoma vitabu
 
Mpaka sasa Comment number 4 haina mpinzani.
Leteni fupi fupi zaidi..
 
Nikae dirishani na kikombe cha chai niangalie nature

Daaah hii umenikumbusha mbali sana tena huku kwetu Tandale natoka na kikombe changu uku na kipensi cha jeans kama, Komando kipensi niki enjoy nature na kuomba Mvua ikate

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom