Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa natoka nje kunusa harufu ya vumbi mvua inaponyesha, ni raha sanaHabari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Kupiga usingizi
Kusoma vitabuHabari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
kunyoa mavu-zi na kuyarusha kwenye mvua kupitia dirishani
Hahaha kuanzia leo sitaki mtu aniite Bebe (ru) ndio nimeiona muda sio mrefuKuangalia movie/kusikiliza music + kulala, kama nipo na bebe(ru) basi kunjunjana kidoogo + cuddling
Asante wa ushwazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikae dirishani na kikombe cha chai niangalie nature