Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
We kuna usichokijuaa,.lol em hukoo💃💃Kwahiyo mwenza hata auntie sipewi taarifa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kuna usichokijuaa,.lol em hukoo💃💃Kwahiyo mwenza hata auntie sipewi taarifa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We kuna usichokijuaa,.lol em hukoo[emoji126][emoji126]
Acha ujinga mwenza ujuee😆😆sa unachekani??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefurahi tu mwenza.Acha ujinga mwenza ujuee[emoji38][emoji38]sa unachekani??
[emoji3][emoji3][emoji3] baba J kuna watoto hapa ujue
ku gegedaHabari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
kama nakuona 😂 , hiyo nyumba isiwe na wapangaji wa kiume asee mvua ikinyesha.Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
😀😀😀😀Hawana bundle ya kusoma uzi bhana..
Achana nao..
😀😀😀 hapo nafanya hayo mambo nipo ndani kwetukama nakuona 😂 , hiyo nyumba isiwe na wapangaji wa kiume asee mvua ikinyesha.
asiwepo yule mtoto wa mjomba au yule family friend wenu😀😀😀 hapo nafanya hayo mambo nipo ndani kwetu