Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Mnaskiliza mziki wakati wa mvua mnakua hamuinjoy coz huwezi kuskia vizuri, ni sawa na kusikiliza mziki kwa headphones [emoji442] sehemu ya kelele nyingi
 
Kwa sisi wakulima kulima wakati Mvua inayesha kunaongeza nguvu ya kupiga jembe.
Ila sio Mvua ya Radi
 
Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
kama nakuona πŸ˜‚ , hiyo nyumba isiwe na wapangaji wa kiume asee mvua ikinyesha.
 
shusha zile pazia zote ndani kuwe na Giza kabisa,kama kuna Joto unawasha ka AC baridi liongezeke then unajifunika na blanket unajikunyataa saa hiyo nipo zangu kwenye Kochi nacheki tu "katuni zangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…