kama demu wangu tuKama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
unaonekana tu uanapenda chai sanaNikae dirishani na kikombe cha chai niangalie nature
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufikiria juu ya kile kilimo cha matikiti cha wale motivation speakers
Kupiga nyetoHabari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Biashara yetu vp sas [emoji16][emoji16]Usingizi na kamziki kalainii, pia isiwe siku ya kwenda kazini iwe kaweekend flani hivi dah
Aaah,hamna mnunuzi hapa ,we Cheka tu[emoji1] [emoji1]Biashara yetu vp sas [emoji16][emoji16]
Kule kwenu Kwa Mtogole ukikaa dirishani mvua inanyesha unaona nini zaidi ya maji yanayokimbizana kwenda jaza mitaro...Nikae dirishani na kikombe cha chai niangalie nature
Watoto wanaoga na boxers, wamama wanakinga mabeseni na ajabu kuna wanaofua nguoKule kwenu Kwa Mtogole ukikaa dirishani mvua inanyesha unaona nini zaidi ya maji yanyokimbizana kwenda jaza mitaro...
KweliMnaskiliza mziki wakati wa mvua mnakua hamuinjoy coz huwezi kuskia vizuri, ni sawa na kusikiliza mziki kwa headphones [emoji442] sehemu ya kelele nyingi
Unaoga nje mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3]Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuendesha li defender langu kwenye matope!
Tatzo hutaki kuja piemu.. bas nipe namba ako niijie mzigoAaah,hamna mnunuzi hapa ,we Cheka tu[emoji1] [emoji1]
Eeh mvua ikinyeshaUnaoga nje mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3]