Vitu gani unapendelea zaidi kwenye simu

Vitu gani unapendelea zaidi kwenye simu

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
survey_banner.jpg



Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k.

Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni mbalimbali, na simu izo huwa na vitu vina fanana na vingine kutofautiana. Bila kusahau Tanzania kuna zaidi ya asilimia 50%

watu wanaotumia smartphone. Tuambie wewe katika matumizi ya simu vitu gani muhimu zaidi kwenye simu mfano, RAM, Storage, Camera, Price, Design, etc.

Tuambie kupitia link hii: Customer buying intention
 
Kwangu simu ni storage +RAM, camera sinakazi nayo.
Pia simu yangu lazimaiwe na hizi apps
1. JamiiForums
2. Cash Book apk
3. Weather apk
4. The Moon apkApp nyingi kwenye simu huwa zinaendana na RAN
Kwangu simu ni storage +RAM, camera sinakazi nayo.
Pia simu yangu lazimaiwe na hizi apps
1. JamiiForums
2. Cash Book apk
3. Weather apk
4. The Moon apk
Mara zote APP za kwenye simu zinategemesana na RAM na Processor ili ziweze kufanya kazi
 
Mimi natumia tu, nimeweka Whatsapp plus, paypal, Dalmax checkers na Currency conveter basi nimemaliza
Simu ina RAM 8GB
Internal Storage 128GB
Chipset Qualicomm Snapdragon 665 (11nm)
 
Display-amoled
Chipset-qualcomm matoleo ya 700 au Mediated za dimensity
Storage kubwa Aina ya UFS
Simu iwe na IP rating na gorilla glass.
Betri kubwa na fast charge ya 33W
Software update hasa OS ya android
 
Back
Top Bottom