TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Kwangu simu ni storage +RAM, camera sinakazi nayo.
Pia simu yangu lazimaiwe na hizi apps
1. JamiiForums
2. Cash Book apk
3. Weather apk
4. The Moon apkApp nyingi kwenye simu huwa zinaendana na RAN
Mara zote APP za kwenye simu zinategemesana na RAM na Processor ili ziweze kufanya kaziKwangu simu ni storage +RAM, camera sinakazi nayo.
Pia simu yangu lazimaiwe na hizi apps
1. JamiiForums
2. Cash Book apk
3. Weather apk
4. The Moon apk
Hawezi jibuWe ni mtu wa Tecno kweli au ni avatar tu maana nina malalamiko mengi kuhusu hizi simu zenu