James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 609
- 513
Duhhh!! kumbe class seven leavers tunadharaulika sana[emoji31] [emoji31] [emoji31]Kupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika [emoji35] [emoji35]
ndo unanikimbiaKwaheri
Let me forget abt u for gud this tym no matter hw much i lyk undo unanikimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]basi nitakujibu banaaKutojibiwa pm zangu
Viroba hakuna now days labda useme ngadaKupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika [emoji35] [emoji35]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dume zima kuandika kishoga shoga!
Mfano;
~'Tyu' badala ya 'tu'
~'Vepee' badala ya 'vipi'
~'Ela' badala ya 'hela'
~E.t.c...
Kumbe c pekeangHabar za bashite na makonda zinaniboaa balaaaa
Sitaki wazee mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]basi nitakujibu banaa
Mkuu umeandikeje hapi c ndio stress za mahonda hizoKumbe c pekeang
Ha haa haa mkuuMkuu umeandikeje hapi c ndio stress za mahonda hizo
Kama uz umejaa matopeMa admin kufuta nyuzi za watu,kama hampendi post zao simuwatext kupitia PM kwamba wajiondoe JF?
PoleJamaa mkorof huyo neno la kikongo anatafsir kibongo then ananitusi, kweli yataka moyo
Duuh ndio stress hizo ila Candy ndio kanifanya hvyoHa haa haa mkuu
Hapi=hapo
Kwa mahondaw n happy hakuna stress
sasa n mwambie azdishe au apunguzeDuuh ndio stress hizo ila Candy ndio kanifanya hvyo