Vitu gani vinakuboa au kuudhi JF kutoka kwa members?

Vitu gani vinakuboa au kuudhi JF kutoka kwa members?

Kupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika [emoji35] [emoji35]
Duhhh!! kumbe class seven leavers tunadharaulika sana[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Ku quote thread yote regardless ni ndefu kiasi gani.
 
Kupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika [emoji35] [emoji35]
Viroba hakuna now days labda useme ngada
 
wanaonikera humu JF ni wale wanaocoment mambo ya muhimu na msingi kwa kufuata hisia zao binafsi bila kufikiri kwanza

kwasababu tu ni mshabiki au mfuasi wa chama au mtu fulani mtu anaamua kuropoka tuu
 
Ma admin kufuta nyuzi za watu,kama hampendi post zao simuwatext kupitia PM kwamba wajiondoe JF?
 
Back
Top Bottom