Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Mbona kuna watu wanafuata kitabu kinachohalalisha kuoa mtoto wa miaka kumi na moja?Yote inatokana na kutokuwa na imani ya kidini na kutokufata maamrisho mema. Jee, maamrisho mema ya namna ya kuishi mke na mume yanapatikana wapi? kwenye kitabu kinachofundisha hadi watoto kuzini na baba yao? Jibu unalo!
Ndoa ni mapenzi tu,kama hayapo ndoa haipo.