Vitu gani vinamfanya Mwanamme "anyemelee" nyumba yake mwenyewe?

Yote inatokana na kutokuwa na imani ya kidini na kutokufata maamrisho mema. Jee, maamrisho mema ya namna ya kuishi mke na mume yanapatikana wapi? kwenye kitabu kinachofundisha hadi watoto kuzini na baba yao? Jibu unalo!
Mbona kuna watu wanafuata kitabu kinachohalalisha kuoa mtoto wa miaka kumi na moja?
Ndoa ni mapenzi tu,kama hayapo ndoa haipo.
 
Daah!!..hii ni kweli,hasa mkishapata watoto.
Mkishapata watato concern ya mwanamke inahama kutoka kwako kwenda kwa watoto. Watoto ndo wanakuwa triple A (AAA), wewe unashushwa hadi AA+. Inabidi ufanye kazi ya ziada ili kulinda hadhi yako ya AAA.
 
Yote inatokana na kutokuwa na imani ya kidini na kutokufata maamrisho mema. Jee, maamrisho mema ya namna ya kuishi mke na mume yanapatikana wapi? kwenye kitabu kinachofundisha hadi watoto kuzini na baba yao? Jibu unalo!

Wakuu huyu mdengereko keshaaleta udini wake hapa tumpotezee ili tuendelee kujadili mada iliyopo mbele yetu.
 
hizi ndoa hizi mnalazimishwa?nyumbani kwako then unaingia kwa kunyemelea? si uhame brother?
 
hizi ndoa hizi mnalazimishwa?nyumbani kwako then unaingia kwa kunyemelea? si uhame brother?

Hatulazimishwi Bebii ila wengine tukishaingia hatuamini kwenye kuachana! Nihame niende wapi? Si bora nakabaki nanyemelea kuliko kuingia mitini?
 
Hatulazimishwi Bebii ila wengine tukishaingia hatuamini kwenye kuachana! Nihame niende wapi? Si bora nakabaki nanyemelea kuliko kuingia mitini?
ndo unyemelee? sasa unaenjoy nini hapo kwanini uishi kwa machale machale nyumbani kwako?
 
ndo unyemelee? sasa unaenjoy nini hapo kwanini uishi kwa machale machale nyumbani kwako?

Namaanisha hiviii, Kama ndoa imekuwa ndoana kiasi hicho na nimebakiza option ya kuendelea kuishi na wewe kwa kunyemelea bora kuliko pendekezo lako la mimi kuondoka kwangu....... La hasha kunyemelea imeshindikana utafungasha. La mimi kuondoka kwangu sahau.
 
poa endelea kunyemelea sipati picha teh teh?
 
I see
 
Guilty consciousness - Ukiwa kama baba wa nyumba umekabidhiwa madaraka ya kuhakikisha familia yako Ina furaha na maendeleo. Wewe kutokana na sababu za msingi kwa asilimia chache au uzembe na ubinafsi kwa asilimia kubwa unashindwa kubeba hayo majukumu kwa kujipa raha wewe mwenyewe kwa vitu Kama ulevi, madawa, umalaya na kuacha familia inaangaika. Sasa jinsi roho yako inavyokusuta lazima uso ujae haya....na Kama umempata mwanamke ngangari lazima awe ana kupiga mangumi hadi kichwa chako kilichojaa makasi badala ya akili kitulie.
 
Haki ya nani tena ukiona anaenyemelea na anakuja na gia zote hizo ... mulika mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kama sio kumulika mwizi basi kuna aliloharibu tuu. Sawa mke anaweza kuwa vuvuzela au mkorofi... but wakati mwingine w.ume wanayataka wenyewe. Mfano unarudi Chakari.., unarudi siku inayofuata (saa sita na kuendelea), na mengineyo. Unategemea nini lol.... .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…