Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka?
Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya kuzingatia ili injini yangu idumu kwa muda mrefu mapak nimalize deni.