1. Engine oil feki
2. Vilainishi feki ( ikiwemo coolant, oil za brake etc)
3. Over rev. ( inastress gari)
4. Ipe dk chache gari ipate moto baada ya kusimama muda mrefu (cold start)
5. Chagua fundi na garage nzuri
6. Ipende gari yako (car enthusiasts tunaamini gari ina roho pia, mfano. Ukianza safari, baada ya sala ongea na gari ikufishe na ikurudishe salama 😃😃.