Binafsi, sio kuchukia as such but sipendi intrusion katika private life. I am a very private person and nina limits sana who I engage with. I like to keep my circle very small. So I easily cut off ties with nosey people.
Sipendi hypocrisy/ Unafki.😡😡I hate it with a passion. Why mtu uwe na sura mbili? Sipendi maneno neno. Ishu za kike yaani kutoa maneno hapa, kuyapika kupeleka pale, ku discuss watu.
Napenda watu straight. I like people wanaojielewa. Good natured people who love life. Who keep promises, who stay positive.
Wanaowadharau wanawake kutwa kuwasema.Wasiojua thamani ya mwanamke.
Na ambao humu wanatumiaga usemi wa 'kuwatumia 'wanawake. *****.